Chakula chema kifanye kazi kama dawa.” Lishe bora ni msingi wa afya njema. Vyakula vya jadi kama mchicha pori (Amaranth), ulezi (Finger Millet), na mtama (Sorghum) vina virutubishi vingi kuliko vyakula vya kisasa. Mchicha pori, kwa mfano, una chuma nyingi, vitamini, na husaidia kudumisha damu safi na nguvu. Matunda kama matomoko (Tamarind) na parachichi (Avocado)Read more


WhatsApp:+254720545028