Mafuta ya mitishamba ni kitu cha thamani sana katika tiba ya jadi. Jinsi ya kuyaandaa ni rahisi: Chukua sehemu ya mmea (majani, mizizi, maganda, maua), yachanganye na mafuta msingi kama ya nazi, parachichi, au alizeti. Halafu, yachome kwa jiko la moto mdogo kwa masaa kadhaa (kwa kuchemsha polepole) au uyaachie kwenye jua kali kwa sikuRead more


WhatsApp:+254720545028