1. Matumizi ya Kiafya Kutibu majeraha – Asali hupakwa kwenye vidonda na moto kuharakisha uponyaji na kuzuia maambukizi. Kupunguza kikohozi na maumivu ya koo – Huchanganywa na tangawizi au limao kutuliza koo na kifua. Matatizo ya tumbo – Husaidia kutuliza vidonda vya tumbo, kiungulia, au kuharisha. Kutoa nguvu – Asali huliwa moja kwa moja auRead more


WhatsApp:+254720545028