Mwarobaini, au Neem kama wengine wanavyoiita, ni “daktari wa nyumbani” kwa sababu ya nguvu zake nyingi za kuponya. Majani yake makungu huwa na uchungu mkali unaoua vimelea, vidusia, na viroboto ndani ya mwili, na pia hupunguza homa kali. Zaidi ya hayo, yanasaidia sana kusafisha damu na kuzuia maambukizo mbalimbali, ikifanya mwili kuwa na kinga imaraRead more











WhatsApp:+254720545028